Makengeza ni hali ya macho kutoangalia sehemu moja kwa pamoja katika wakati mmoja.
Makengeza yanaweza kusababishwa na tatizo katika misuli ya macho , nevu ya kuona au sehemu inayohusika na kuona katika ubongo
Kutokana na sababu ya macho yenye makengeza yanaweza kurekebishwa kwa miwani maalum au upasuaji