Inatokea pale lenzi ya jicho inapopata ukungu na kuathiri uwezo wa kuona. Mtoto wa jicho ndio chanzo kikuu cha upofu kwa watu wenye umri zaidi ya miaka 40.
Kuona Ukungu ,kutokuona vizuri nyakati za usiku na kusumbuliwa sana na mwanga
Mtoto wa jicho inatibika kwa kuondoa lenzi yenye ukungu kwa njia ya upasuaji.