Hii ni hali ya kutokuona vizuri ambapo mtu mwenye hali hiyo haweza fanya baadhi ya shughuli zake za kawaida.
Mtu anakuwa na uono hafifu pale tatizo lake la kutokuona vizuri haliwezi kuondoka kwa kutumia miwani.
Uono hafifu unaotokana na mtoto wa jicho au diabetic retinopathy unaweza ondolewa kwa upasuaji.