Ni hali ya kuziba kwa mirija ya damu katika retina. Inaweza kusababishwa na shindikizo ya damu, kisukari, presha ya macho au mara nyingine kwa sababu zisizofahamika
Mgonjwa anakuwa haoni vizuri, kunakuwa na madoa doa katika uono wake.
Hali hii inaweza kutibiwa kwa sindano ndani ya jicho au kwa tiba ya mionzi