Retina ni tabaka nyuma ya ndani ya jicho yenye tishu inayopokea mwanga na kupeleka ujumbe kwenye ubongo. Retina detachment inatokea pale retina inapobanduka kutoka katika ukuta wake. Kama isipotibiwa mapema inaweza kusababisha upofu wa kudumu.
Kuona madoa doa na kusababisha uono hafifu.
Mgonjwa mwenye hali hii anahitaji matibabu ya haraka. Matibabu yanajumuisha tiba ya mionzi ( laser) na ikilazimu upasuaji utafanyika.